Curriculum

Kiswahili

Kiswahili

Number of replies: 0

Hii ni mojawapo ya lugha za kitaifa katika nchi ya Kenya. Kwa kukifunza kiswahili unakuza vipaji vya uzungumzaji na ukakamavu wa kujieleza pasi hofu.Hapana shaka kwamba haya ni baadhi ya maadili yanayostahili kuimarishwa kati ya wanafunzi wetu angaa tuwe na wananchi bora si bora wananchi. Mti ukunje ungali mdogo, tusingoje kulalamikia ukosefu wa maadili katika jamii, tuwaelimishe na kuwapa wana wetu wakue wakiwa wema. mwasemaji magwiji?